Msaada: Nimezidiwa na nguvu za kiume

buffaro89

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2016
Posts
592
Reaction score
378
Habari vipi JF members?

Naomba msaada jamani!

Hii hali inaniboa sana, Mara nyingi dushe linasimama kila mara tangu nikiwa chekechea uhame umekuwa unasimama muda wote na hata ningefanya mapenzi nimejikuta mara nyingi ninauwezo wa kuunganisha bila kupunzika.

Nimekuwa ninajipooza na barafu au kuoga maji ya baridi yaliyochanganyikana na ubaridi wa kwenye barafu lakini maji ya baridi kawaida bado ninakuwa naingia wakati mgumu niliwahi kuwa na mpenzi, lakini alinikimbia, maana hilo bao moja ni kama saa moja na nusu hivi.

Niliwahi kuwa na wanawake wengine wanaopenda ngono muda wote, huwa inakuwa ngumu kuniacha na mwisho wa siku inakuwa ni kero.

Sasa msaada wa kitaalamu, huwa nasikiaga tuu watu wanasema wanapungukiwa na nguvu za kiume. Sasa mimi ni kinyume chake, naomba msaada wa kitaalumu au ushauri, nifanyeje dushe muda wote limesimama.

Karibuni, matusi hayaruhusiwi!
 
Mkuu una miaka mingapi? na una kazi gani?
Na unatembelea mitandao ya porn?
 
Mkuu una miaka mingapi? na una kazi gani?
Na unatembelea mitandao ya porn?
nimekwambia tatizo lilianzia nikiwa chekechea! bado mvulana! sasa unasema mitandao ya porn!
 
Nunua sex doll, human sized litakua poa zaidi. Ila sidhani kama Tz yapo itabidi kuagizia.
Itabidi ulishughulikie mpaka utakapokaa sawa.
 
Piga punyeto mdogo wangu,nasema piga punyeto na narudia tena wewe piga tu punyetooo....achana na ushauri mwingine watakupoteza piga punyeto tu nasema ivi piga punyeto.
 
Nenda hospital inawezekana na dalili ama ugonjwa wa circle cells
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…