Msaada: Nina appetite iliyopitiliza

Una mimba ya kiume
 
jinsinya kupunguza kula sasa !hatupend ukwel nataman nisile !siku 1 nilisema nafunga kula !nilizimia
Mmmh aisee pole sana.... Kwa kawaida inabidi ule milo mitatu kwa siku asubuhi, mchana na jioni...usipende kuchanganya changanya...ukiona karanga njiani unapiga, mahindi ya kuchoma, kashata,mandazi, matunda, mayai ya kuchemsha...duuuh kuwa makini kwa maana bomu unalotengeneza likilipuka ni shida

Jizoeshe kujidhibiti ni bora ubaki kula matunda na kunywa maji kila baada ya muda au mlo wa asubuhi/mchana na jioni
 
Duuuhh Poleni sana miye kipande cha gimbi,asbh na chaji ya Rangi, mchana ndizi ya kuchoma 1 na zamani kidogo, jioni wali kidogo na glass ya maziwa ila mwili haurudi
 
Unaelekea kua wa mviringo Mbiti,si unaona unaxema hadi sura ilikua oval shape xaiv ni duara
Sasa f u won't change ur lifestyle unaelekea kua wa mviringo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…