Msaada: Nina appetite iliyopitiliza

Unaelekea kua wa mviringo Mbiti,si unaona unaxema hadi sura ilikua oval shape xaiv ni duara
Sasa f u won't change ur lifestyle unaelekea kua wa mviringo

yaan dresing table nimeigeuzia uktan sitaman kujiatanzama tenaaa afu watu wabaya wananiambia dah mbn unapendeza sana dah sijui y wabongo tunapenda kuuana naman hii ! soon nitakuwa kiroba !
 
Unaweza kwakuanza kupunguza dozi polepole mpaka ukawa unapotezea kabisa. It's all in the mind.

Halafu ukitaka kuweza vizuri, oanisha kupunguza kula na malengo mengine, kama kufanya mazoezi zaidi na kupunguza uzito kama umenenepa.

Mimi nilikuwa siposana kwenye kula, nilikuwa napiga sana masanga ya Scotch Whisky. Nimeamua kuacha sijagusa pombe yoyote miezi mitatu sasa, na uzito napungua.
 
mie sio mnywaji kwanza najistukia sana kunywa !nakunywa nadra sana ! sure its all in my mind ,nitajitune!asante
 
yaan dresing table nimeigeuzia uktan sitaman kujiatanzama tenaaa afu watu wabaya wananiambia dah mbn unapendeza sana dah sijui y wabongo tunapenda kuuana naman hii ! soon nitakuwa kiroba !
Hahahaa yeah utakua furushi,sasa dressing table irudishe vile vile ili ukijiona tuu uwe unaichukia hali uliyo nayo,uta make changes
 
Hahahaa yeah utakua furushi,sasa dressing table irudishe vile vile ili ukijiona tuu uwe unaichukia hali uliyo nayo,uta make changes

hahahah haya !nilikua nauso mzurii sasa hv nipo kama huyu anaeimbaga mashairi ya sizonje mxiew
 
Inatagemea pila je unakula kula tu mazozezi hufanyi au unafanya, kwa wastani mahitaji ya calories kwa wanawake kwa siku ni 2000-2100, ukitaka upungue uzito basi ni 1400-1800. Kwetu sisi wanaume ni 2700-2900 kwa siku, ukitaka kupunguza uzito basi shusha hadi 2200-2700.

Google calories contents ya vyakula tofauti, pia calculate BMR (Basal Metabolic Rate yako pamoja na TDEE (Total Daily Energy Expenditure).

Women BMR = 655 + (9.6 X weight in kg) + (1.8 x height in cm) – (4.7 x age in yrs)
Men BMR = 66 + (13.7 X weight in kg) + (5 x height in cm) – (6.8 x age in yrs)

TDEE = BMR x Activity Factor

Amount of Exercise/Activity
Description
TDEE/ Maintenance
Sedentary
Little or no Exercise/ desk job
TDEE = 1.2 x BMR

Lightly active
Light exercise/ sports 1 – 3 days/ week
TDEE = 1.375 x BMR

Moderately active
Moderate Exercise, sports 3 – 5 days/ week
TDEE = 1.55 x BMR

Very active
Heavy Exercise/ sports 6 – 7 days/ week
TDEE = 1.725 x BMR

Extremely active
Very heavy exercise/ physical job/ training 2 x/ day
TDEE = 1.9 x BMR
 
Ushauri wangu ni wewe kujizuia kula kula hovyo tena vyakula visivyo vya maana (junk)

Ukiona unashindwa basi jitahidi kuwa mtu wa mazoezi. Fanya mazoezi ya viungo na jogging, kuruka kamba walau hata mara tatu wa wiki.
 
nafanyaga naacha ! aise inabid nijitune kbs kuacha !nina 3weeks nautumikisha sana mwili wangu tena kwa kazi nzito thou
 
ntacalculate kesho hatar tupu hii !mtu aliyeniona nov last yr na akija niona nw ataishia kushtuka
 
huu uzi unaniongelea mimi kabisa ila atleast siko over weight nakula 24 hours
 
Hata mke wangu nae Hivyo Hivyo anapenda kula kula sijui mnanini nyie wanawake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…