Msaada: Nina appetite iliyopitiliza

Unapenda kula[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] kiliwa je
 
Nakula mpaka nizimie leo
 
Nakula mpaka nizimie leo

hahhaha mie nimekula saa 5 leo !nikaja kula saa 9 !hapa najidunga alcohol hyo had kesho nitajidungaaaa misosi !nimemis pilau la mbuzi jaman !nataka nilikalieee jikoni !ingawa nitakuwa na hangover lol!

enjoy maa'
 
pilao la hatareee nakuambia njoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…