Msaada: Nina changamoto kwenye fikra zangu

Msaada: Nina changamoto kwenye fikra zangu

Hiyo namba moja hata mm huwa inanikutaga mkuu.Huwa mda mwingi nafkiria vitu vingi sana na vingi ni imaginations.Njia pekee ambayo huwa naitumia kuliepuka tatzo ni kujichanganya na watu wengine.

Yaani huws sipendi kukaa peke yangu.Na hata ikitokea nipo alone huwa nakuwa na kitu cha kunikeep busy.

Kuhusu namba 2,mkuu nahisi utakuwa na msongo wa mawazo unaotokana na kitu kinachokusumbua sana,pia yawezekana kimekusumbua kwa muda mrefu bila ufumbuzi.Jitahidi kuwa unaongozana na mtu pindi utembeapo,tena akiwa wa jinsia tofauti na ww itakuwa vizuri zaidi maana nna uhakika wa 100% utaona aibu kucheza cheza.

Ni hayo tu mkuu,labda wengine wanaweza kuja kuongezea chochote.


"Analyse"
 
hamishia mada jukwaa la jf doctors hope utapata ushauri.
 
Back
Top Bottom