MSAADA: Nina changamoto ya kuomba leseni kwa upande wa CO

Kunguru wa Unguja

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2021
Posts
1,762
Reaction score
1,823
wakuu habari za muda huu,natumai mnaendeleo vizuri na poleni na majukumu ya siku nzima.

Naombeni msaada mimi nimemaliza diploma ya clinical medicine(2023)so nimepata changamoto jinsi ya kupata registration number pamoja na kwamba nimefanya malipo yote lakini bado status inasomeka blocked ila imeandikwa upload proffesional certificate.

Haya yote nimefanya lakini hakuna mrejesho pamoja na kwamba nimetuma complain kupitia email yao lakini bado wapo kimya sasa sijui tatizo liko wapi wakuu,naombeni msaada mwenye mwongozo wowote kuhusu hili
 

Ngoj waje 😩
 
Kwan
Sawa mkuu nitalifanyia kazi hili wazo lako
UN
Una mda gani umeomba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…