Mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 28, nimeolewa na nina mwaka sasa ila sijashika mimba. Ninahitaji kupata mtoto.
Nimekwenda kupima nikaambiwa nina fangasi kwenye njia ya uzazi na cyst kwenye ovary ya kulia. Anayejua dawa ya kutoa cyst bila ipasuaji, naomba msaada. Na je, naweza kupata mimba nikiwa na hizo cyst?