Ningekusaidia, ila kwakuwa wengi wetu siku hizi tunaamini njia za tiba ya asili ni utapeli na ushetani inabidi uende huko huko hospitali mpaka utakapo pata tiba sahihi.
Pole sana Mkuu, Mungu wa mbinguni ainusuru ndoa yako ampe uvumilivu mwenzi wako.
Mimi sichagui tiba wapendwa...kama unaweza kunisaidia
Unaweza kuconceive, cyst huwa ni hormanal, inatokea na wakati mwingine haitokei. Kuhusu fangasi, pata matatibu sababu fangasi au infection kwenye kizazi ni chanzo kikuu cha kuzuia mimba kutunga.
USHAURI: nenda kwa Dr Mwaka, amesaidia wengi sana nina ushuhuda kwa hilo na watu wengi tu. Muombe Mungu kwa imani naye atatenda, hakuna asiloweza, yote kwake yanawezekana kwa imani.

Ok Mkuu, rudi kwanza hospital utibu hizo fangasi, kisha rudi tena kwenye zoezi la kutafta mtoto. Usipompata ndani ya siku60 uje na mwenza wako PM tutajadili pamoja nini kifanyike.
Hakuna gharama ktk kipindi chote utakapokuwa unatumia dawa. Ila utatoa asante baada ya kumpata huyo baby wenu.