Msaada, Nina Kidonda Kikubwa Mguuni

Mchafukoga

Member
Joined
May 25, 2013
Posts
38
Reaction score
3
Ninakidonda kikubwa ambacho kimesababishwa na malenge lenge mguuni, sasa yapata miez miwil kidonda hakipungui, nitumie dawa gani?

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Pole sana mkuu, kimeanza lini, kina ukubwa gani, na kiko wapi na kimetokana na nini(kuumia, una kisikari , uliungua na moto ai chochote..?).. Kwa haraka tiba ni antibiotics-kama ampiclox na kukisafisha(dressing) lkncha muhimu ni kuangalia kilichosababis
Kwa nini usianze kuwashangaa wavulana/wanaume ambao wanaomba kutafuna papuchi kabla ya kuoa?
Mtoa mada kamaanisha kwamba mwanamke lazima awe na class na standard..kukamuana kupo lakini sio zile meneja bank twende, trafic twende, msafisha kucha na miguu twende, daktari kala... Yaani unakuta mtu mpaka inafikia papuchi yale kaipa thamani ndogo sana(kajichoka) haujawahi kuona watu kama hawa..unakuta mtu kila mwezi anatiniwa uti, fungus, pid nk.. Mwili wake kaupa thamani ndogo sana alishageuzwa na kila aina ya mwanaume na sisi wengine tunaamini hata ma wewe ukila demu ka huyo unajipa minuksi tu..ha na kukiondoa au kukitibu.. lkn tiba itakuwa mwafaka km utajibu maswali hapo juu..
 
Nilipopima sukari ilikuwa imepanda, lakin sasa ipo normal mkuu Dr.Mo


Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Pima tena sukari kwa vipimo kutoka hospitali kama sukari iko juu ni pm mimi natibu kisukari fanya haraka nina safari ya nje kwa mwezi mzima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…