M Musaneza Senior Member Joined Apr 4, 2017 Posts 141 Reaction score 138 May 24, 2017 #1 Wadau, Nina mashine ya kusaga na kukoboa nafaka ya mafuta(diesel). Ninahitaji kwa yeyote aliyeona fursa ya sehemu ambayo naweza kufunga mashine hii. Utakuwa vizuri kama itakuwa mkoa wa Pwani. Nawasilisha
Wadau, Nina mashine ya kusaga na kukoboa nafaka ya mafuta(diesel). Ninahitaji kwa yeyote aliyeona fursa ya sehemu ambayo naweza kufunga mashine hii. Utakuwa vizuri kama itakuwa mkoa wa Pwani. Nawasilisha
Bigbon JF-Expert Member Joined May 21, 2016 Posts 600 Reaction score 729 May 24, 2017 #2 Ina uwezo gani hiyo mashine?