Nuhu Juliani
Member
- Mar 26, 2018
- 11
- 7
Umeenda hospitali kwanza labda tuanzie hapoWadau mm nashida nanaomba unisaidie japo kwa ushauri n.k
Mm ni Kijana mwenye umri wa miaka 19 na Kwa majina Naitwa Nuhu ninasumbuliwa na maumivu ya kichwa upande mmoja , kikohoz cha muda mrefu, kichomi kwenye tumbo na kifuani upande wa kushoto, nahisi uvimbe chini ya kwapa upande wa kushoto, Kizunguzungu, Kupumua Kwa tabu kwa mda na Maumivu kwenye Chembe katikati ya kifua na Kuwa na Hofu.🙁
Nimepiga X-ray nimeambiwa sina tatizoKapige x-ray ya kifua
Nimeenda kakaNenda Hospital kaeleze hayo yote kwa Daktari utasaidiwa
Sitaki kusema daktari hajachek vzr lkn kama umeenda hospital tofauti na muhimbili nakushauri nenda, naamini utapata majibu sahihuNimepiga X-ray nimeambiwa sina tatizo
Ulifanya vipimo gani zaidi ya X-ray? Majibu yalikuwaje?Nimeenda kaka
Nimepima HIV Sina tatizo Nimepiga x-ray sina tatizoPima TB na HIV
Nimepima damu ipo 11•5 na BP ipo 100/60 .. na vipomo vingine kama taifod,malaria,HIV na anginaUlifanya vipimo gani zaidi ya X-ray? Majibu yalikuwaje?
Kama bado hujafanya hivyo vipimo, nenda kapate hivyo vipimo.
Kumbuka hapo umetaja dalili tofauti tofauti jinsi hali yako ilivyo
Majibu?Nimepima damu ipo 11•5 na BP ipo 100/60 .. na vipomo vingine kama taifod,malaria,HIV na angina
Majibu ya damu ni (11•5) .. Majibu ya BP ni (100/60) ... Sina HIV,Malaria,taifod ila angina nimeambiwa chembe imeoanuka sijàjua chembe ipi sasa ila ivoMajibu?
[emoji115] [emoji115]Kuhusu hyo Hb level ni nzuri sio Anemia .... na BP ni nzuri pia japo Diastolic (ya chini) inaonekana kuwa chini kidogo ...
Nakushauri ukafanyiwe uchunguzi zaidi Mkuu
Majibu ya damu ni (11•5) .. Majibu ya BP ni (100/60) ... Sina HIV,Malaria,taifod ila angina nimeambiwa chembe imeoanuka sijàjua chembe ipi sasa ila ivo
Asante ndugu zangu[emoji115] [emoji115]