Msaada:Nina maumivu kama moto yanatembea mwilini

Msaada:Nina maumivu kama moto yanatembea mwilini

MUHEKA PANGENDE

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2014
Posts
294
Reaction score
177
Nina miaka nane sasa toka maumivu yaanze kunitokea ambayo yanatembea mwilini,nateseka sana,naomba ushauri wenu.
 
Maumivu yanakuwa kama naungua na moto hv,mara miguuni mara tumboni mara mikoni,yanapita kwenye ngozi tu
 
Back
Top Bottom