Money Maker
Senior Member
- Jul 11, 2011
- 146
- 31
nimekupata mkuu pesa ni zangu nilikua nafanya saving katika mshahara wangu kwa miaka 2Ndugu ndele nakushauri rudisha pesa yawatu biashara sio ndoto. If you can not count from one to ten how you can manage to count from thousands to millions?
nashukuru mkuu<outside the box>
Unaweza ukanunua hisa za shirika fulani e.g. CRDB. I know a friend alinunua baada ya miaka 2 zika double. Tafuta mashirika yanayouza hisa chagua lenye good future prospects nunua hisa za kama milioni 4 kaa nazo kama mwaka au miaka miwili mostly utakuwa na kama milioni 7 au 8. Its not that simple but it is possible.
Au unaweza ukaatafuta tenda ya ku spply bidhaa fulani kwenye shirika au taasisi fulani kana vile ku supply certain items UNHCR (sijui kama bado wapo kule Ngara)
si lazima ufanye biashara ambazo ni too obvious zinazofanywa na kila mtu.
ndugu yangu malezi ndo tatizo sijawai kufanya biashara ya aina yeyote tangu nizaliwemkuu ni risk kama huyu mtu hana exprience ya biashara,lakini ni mtanzania gani huyu hajawahi fanya biashara??mkuu wewe ni mkimbizi?
nimekupata kiongozi sasa nitapata wapi ujuzi huo? kama unasoftcopy ya jinsi ya kufuga kitimoto ningeshukuru sanaKwa kuwa una 5M biashara nzuri na yenye return kubwa ya haraka(samahani kama umefunga)ni nguruwe!tena kwa kuwa mwajiriwa hutapata tabu ya kusafiri,wateja watakufuata nyumbani. Mie nilianza na nguruwe sita kwa sasa ninao 180,sina tatizo ila juzi tu ndo nilikosa mafuta ya jenereta langu.
<outside the box>

Unaweza ukanunua hisa za shirika fulani e.g. CRDB. I know a friend alinunua baada ya miaka 2 zika double. Tafuta mashirika yanayouza hisa chagua lenye good future prospects nunua hisa za kama milioni 4 kaa nazo kama mwaka au miaka miwili mostly utakuwa na kama milioni 7 au 8. Its not that simple but it is possible.

Au unaweza ukaatafuta tenda ya ku spply bidhaa fulani kwenye shirika au taasisi fulani kana vile ku supply certain items UNHCR (sijui kama bado wapo kule Ngara)

si lazima ufanye biashara ambazo ni too obvious zinazofanywa na kila mtu.
babu kubwa mkuu,je? Hao firechair 5 ulichukua nao muda/gharama/mtaji gani mpaka kufikia 180 na eneo gani upo. Na je unawauza kwa jumla au una bar yako unachomesha mwenyewe?Kwa kuwa una 5M biashara nzuri na yenye return kubwa ya haraka(samahani kama umefunga)ni nguruwe!tena kwa kuwa mwajiriwa hutapata tabu ya kusafiri,wateja watakufuata nyumbani. Mie nilianza na nguruwe sita kwa sasa ninao 180,sina tatizo ila juzi tu ndo nilikosa mafuta ya jenereta langu.
Kwa kuwa una 5M biashara nzuri na yenye return kubwa ya haraka(samahani kama umefunga)ni nguruwe!tena kwa kuwa mwajiriwa hutapata tabu ya kusafiri,wateja watakufuata nyumbani. Mie nilianza na nguruwe sita kwa sasa ninao 180,sina tatizo ila juzi tu ndo nilikosa mafuta ya jenereta langu.

nimekupata kiongozi sasa nitapata wapi ujuzi huo? kama unasoftcopy ya jinsi ya kufuga kitimoto ningeshukuru sana

babu kubwa mkuu,je? Hao firechair 5 ulichukua nao muda/gharama/mtaji gani mpaka kufikia 180 na eneo gani upo. Na je unawauza kwa jumla au una bar yako unachomesha mwenyewe?

Mkuu, uko mkoa gani na wateja unawauzia wholesale au rejareja? Naomba data zaidi tafadhali...

mkuu ni risk kama huyu mtu hana exprience ya biashara,lakini ni mtanzania gani huyu hajawahi fanya biashara??mkuu wewe ni mkimbizi?
ok nashukuru sana mkuu pia ukiweza nitumie kwa kutumia email mashakamatatizo@yahoo.com au uniPM

Samahani mgao wa umeme mkuu,simu iliishiwa charge!nitakutumia soft copy ya ufugaji wa nguruwe na tiba zake.
ok nashukuru sana mkuu pia ukiweza nitumie kwa kutumia email mashakamatatizo@yahoo.com au uniPM
ubarikiwe mkuu kwa ushauri wa kinautakuwaje na majina ya ajabu ajabu bwana?
Hii inadhihirisha msingi wa kitu unachodhani ni tabu, unakuwa haujiamini kama utaweza.
Why?
Kama wengine wanaweza kwa nini wewe ushindwe? Na inawezekana ukaweza hata zaidi ya walioweza!
Usije ukamwita mwanao majina kama hayo: Mateso, mashaka, tabu, shida, sikudhani et.c, et.c.
Toa majina kama faraja, uwezo, bahati et.c
mtoto hukua akiwa analitumia sana jina lake kuthibitisha kuwa yeye yuko kama jina lake lilivyo au linavyomaanisha na watoto wenzake humtania kwa kumfananisha na jina lake naye hukua akiamini yuko kama jina lake lilivyo.
Waite watoto wako wawili mmoja osama na mwingine obama halafu wote wawe exposed katika mazingira sawa, baada ya miaka 20-25 uje uangalie kila mmoja atakuwa yukoje!
Kuna uwezekano mkubwa kuwa osama atakuwa mbabe, atakuwa na tabia za kuwafanyia watu kitu mbaya au anaweza hata kuwa jambazi na obama anaweza kuwa hata mwanasiasa kama tunavyowaona kina mnyika, zitto n.k
au ktk watoto wako wawili mmoja umwite isaack wakati wewe baba yake unaitwa newton (mtoto awe isaack newton) halafu uone atakapoenda shule atapenda masomo gani!
onyo: usijaribu kwa wanao - "mwerevu hujifunza kutokana na makosa ya wenzake, mjinga hujifunza kutokana na makosa yake!"
simaanishi kuwa majina ya kizungu au ya kigeni nd'o mazuri no!
Muhimu: Mpatie mwanao jina litakalomfanya ajisikie anaweza, ajione kuwa anaweza kuwa kama mtu maarufu aliyekuwa na jina lake au anaweza kuwa kama jina lake lilivyo!
Tuwe makini na majina, kama ulishapatiwa jina la mtindo huo kama nilivyotaja hapo juu basi pole sana, lkn siyo mwisho: believe you can. Lkn usilogwe kuja kumwita mwanao majina ya ajabu ajabu!
My name is richard and most richards are medical doctors and so i am;
note: Do not copy me wrongly: It doesn't mean that all doctors are richards (kama unabisha angalia literature yoyote ya mambo ya afya ya binadamu iliyojaa contributors kama hautaona dr......richard.
Richard also means "a brave person"
jina langu jingine naitwa "hakili" maana yake "afadhali"
ni maoni yangu tu!
I stand to be corrected!
ubarikiwe mkuu kwa ushauri wa kina