Utakuwaje na majina ya ajabu ajabu bwana?
Hii inadhihirisha msingi wa kitu unachodhani ni tabu, unakuwa haujiamini kama utaweza.
Why?
Kama wengine wanaweza kwa nini wewe ushindwe? Na inawezekana ukaweza hata zaidi ya walioweza!
Usije ukamwita mwanao majina kama hayo: Mateso, Mashaka, Tabu, Shida, Sikudhani et.c, et.c.
Toa majina kama Faraja, Uwezo, Bahati et.c
Mtoto hukua akiwa analitumia sana jina lake kuthibitisha kuwa yeye yuko kama jina lake lilivyo au linavyomaanisha na watoto wenzake humtania kwa kumfananisha na jina lake naye hukua akiamini yuko kama jina lake lilivyo.
Waite watoto wako wawili mmoja Osama na mwingine Obama halafu wote wawe exposed katika mazingira sawa, baada ya miaka 20-25 uje uangalie kila mmoja atakuwa yukoje!
Kuna
uwezekano mkubwa kuwa Osama atakuwa mbabe, atakuwa na tabia za kuwafanyia watu kitu mbaya au anaweza hata kuwa jambazi na Obama anaweza kuwa hata mwanasiasa kama tunavyowaona kina Mnyika, Zitto n.k
Au ktk watoto wako wawili mmoja umwite Isaack wakati wewe baba yake unaitwa Newton (mtoto awe Isaack Newton) halafu uone atakapoenda shule atapenda masomo gani!
ONYO:
Usijaribu kwa wanao -
"Mwerevu hujifunza kutokana na makosa ya WENZAKE, mjinga hujifunza kutokana na makosa YAKE!"
Simaanishi kuwa majina ya Kizungu au ya kigeni nd'o mazuri NO!
MUHIMU: Mpatie mwanao jina litakalomfanya ajisikie anaweza, ajione kuwa anaweza kuwa kama mtu maarufu aliyekuwa na jina lake au anaweza kuwa kama jina lake lilivyo!
Tuwe makini na majina, kama ulishapatiwa jina la mtindo huo kama nilivyotaja hapo juu basi pole sana, lkn siyo mwisho:
BELIEVE YOU CAN. Lkn usilogwe kuja kumwita mwanao majina ya ajabu ajabu!
My name is Richard and most Richards are Medical Doctors and SO I AM;
NOTE: Do not copy me wrongly: It doesn't mean that all Doctors are Richards (kama unabisha angalia literature yoyote ya mambo ya afya ya binadamu iliyojaa contributors kama hautaona Dr......Richard.
Richard also means "A brave person"
Jina langu jingine naitwa "Hakili" maana yake "Afadhali"
Ni maoni yangu tu!
I stand to be corrected!