Msaada nina Red eyes

The onest

Member
Joined
Apr 5, 2012
Posts
8
Reaction score
0
Kwa yoyote anayejua dawa ya red eyes naomba anisaidie sababu inantesa sana
 
osha macho kwa maji safi ya uvuguvugu
yaliyo changanywa chumvi kwa mbali.
 
Usafi wa macho kwa ujumla uhimarishe zaid kuosha mara kwa mara kwa maji safi ya vugu vugu na sabun unadumu kwa siku 5 had 7 tangu ukupate
 
Aisee huu ugonjwa bado unaendelea? Usifikiche macho,nawa mikono yako mara kwa mara,nenda baharini kanawe yale maji na yaingie machoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…