Msaada; Nina tatizo la kuona na kusikia vyote kwa pamoja

Daaah tupo wengi .


Mi sometimes natembe utazani kitenesi nakua nahisia za ku baunce nikiwa natembea ....
Pole Mkuu,
Vipi uwezo wa kuhisi (sensing) hasa touch kwenye miguu?
 
Nas
Pole Mkuu,
Vipi uwezo wa kuhisi (sensing) hasa touch kwenye miguu?
Nashangaa zaman nilikua nikichomwa kale kasindano ka kwenye kidole nilikua nashituka kidogo lakini saiz nashituka baadae huku damu ikiwa inatoka ....
..
Miguu inakuwa inawaka Moto.
 
Nunua kitabu cha Dr. Boaz kinaitwa sayansi ya mapishi. Kula kwa lishe nakupa miezi 3 tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…