Quinine Mwitu
JF-Expert Member
- Oct 19, 2014
- 5,529
- 6,095
Nina tatizo la kupanuka kwa moyo
Je in tiba gani sahihi kutumia,na ushaur kwa ujumla
Je in tiba gani sahihi kutumia,na ushaur kwa ujumla
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halafu utasikia watu wanasema ukaombewe. Aisee nakushauri onana na dokta haraka iwezekanavyo. Utapata ushauri mzuri tu, ingawa matatizo kama hayo yanahitaji matibabu endelevu (kutumia dawa maisha yako yote; wakati mwingine)Nina tatizo la kupanuka kwa moyo
Je in tiba gani sahihi kutumia,na ushaur kwa ujumla