Msaada nina tatizo la kupanuka kwa moyo

Quinine Mwitu

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2014
Posts
5,529
Reaction score
6,095
Nina tatizo la kupanuka kwa moyo
Je in tiba gani sahihi kutumia,na ushaur kwa ujumla
 
Wakuu njoeni mtoe ushauri hapa.pole sn mkuu,Naamini watakuja
 
wala tatizo lako sio la kuomba ushauri mtandaoni nenda muhimbili clinic ya moyo ya jakaya kikwete pale kuna madaktari bingwa sana mwenyewe kesho naenda , kumbuka mapema ni vizuri zaidi.
 
wanaweza goma kukupokea ila utafanya maarifa mwenyewe ujue jinsi ya kuingia muhimbili omba kwenye hospitali yoyote ukatiwe rufaa uende muhimbili.
 
Nina tatizo la kupanuka kwa moyo
Je in tiba gani sahihi kutumia,na ushaur kwa ujumla
Halafu utasikia watu wanasema ukaombewe. Aisee nakushauri onana na dokta haraka iwezekanavyo. Utapata ushauri mzuri tu, ingawa matatizo kama hayo yanahitaji matibabu endelevu (kutumia dawa maisha yako yote; wakati mwingine)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…