Msaada: Nina tatizo la kupata mafua mara kwa mara

Hata mimi nina tatizo hilo ila kwangu nina aleji na vumbi hata kidogo kiasi gani.

Kila mwezi lazima nipate mafua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…