Msaada: Nina tatizo la kupata mafua mara kwa mara

Pole sana mkuu kwa tatizo lako. Swali la msingi je hilo tatizo la mafua umekuwa nalo kwa muda gani ? Umeishi sehemu moja tangu uzaliwe au ulishawahi kuhama ? Kama ulishawahi kuhama unaweza linganisha kiasi cha kupata mafua kutoka makazi yako ya zamani na mapya. Pia jaribu kufikiria sehemu ya kazi kama una kazi au shule. Mimi nilikuwa na hilo tatizo nikiwa Morogoro lakini nienda Dar huwa mafua yanapona,nikipeleka pua morogoro nayo hayo kama yametumwa vile.
 
Tatizo limenuka hivi karibuni kama miaka mitatu sasa lakini miaka ya nyuma sikua na tatizo hilo,na kuna kipindi nikiguswa na vumbi kidogo ni kosa na hata nikilala nikiamka lazima niamke nayo
 
Una Aleji na baadhi ya vitu mfano parfume au sabuni za kuogea zinazonukia sana. Jaribu kuepuka .
Nakubaliana na hii mm mwenyewe hii ilinisumbua sana..kumbe tatizo lilikuwa sabuni ile ya citras baada ya kuacha tu nikwa fresh.
 
Tatizo limenuka hivi karibuni kama miaka mitatu sasa lakini miaka ya nyuma sikua na tatizo hilo,na kuna kipindi nikiguswa na vumbi kidogo ni kosa na hata nikilala nikiamka lazima niamke nayo
Sasa mkuu katika hiyo miaka mitatu ambayo umekuwa na hilo tatizo unaishi mazingira hayo hayo au umebadilisha mazingira ?
 
Jitahidi uwe unatafuna vitunguu swaumu kila mara maana nami nilijijengea tabia ya kutafuna vitunguu na huwezi amini nina miaka 4 siyajui mafua
 
ACHA KULA VITU VYA MAFUTA, KWA MFANO mchuzi wa mafuta, karanga N.K, mafuta kuna baadhi ya watu husababisha sana mafua kwa mfano kama mm nikila vitu vya mafuta basi lazima nitapiga chafya nyingi na mafua, Acha kula nyama inachangia asilimia nyingi kupata huo ugonjwa, pendelea kutafuna tangawizi inasaidia sna kuuwa virus wa mafua
 
Back
Top Bottom