Msaada: Nina tatizo la kupata mafua mara kwa mara

Msaada: Nina tatizo la kupata mafua mara kwa mara

Alaf kuna dawa zinaitwa CETIRIZINE kanunue pharmacy sio ghali, zitakusaidia sana hilo tatizo, mm nilikua na hali kama yako ila afadhali kidogo, na hali haisababishwi na vumbi kama watu wanavyofkiria, hio itakua kuna kitu unakula kinakusababishia hali hio so inakua ngumu kupona, MUHIMU ACHANA NA VYAKULA VYA MAFUTA, NYAMA, KARANGA NK
 
Mi pia natatizo hilo miaka nenda miaka rudi,sijawahi jua tatizo ni nini
 
mkuu mimi nina mafua hapa yani yana kata then yana rudi tena
 
Mi pia natatizo hilo miaka nenda miaka rudi,sijawahi jua tatizo ni nini
ila huwa ni vumbi kuna kipiti nilienda hosp wakasema jiepushe sana na vumbi maana waliangalia FBP ndo wakanieleza na pia nguo sa manyoya achana nazo na harufu kali kama body spray pia kunywa maji sana
 
Aisee hata Mimi hili tatizo linanisumbua Sana tena napiga chafya hata Mara kumi na mafua hayakati.Nikitoka nje ya dar hayanisumbui hata kidogo.
 
Back
Top Bottom