Msaada: Nina tatizo la kutokwa na majimaji sehemu za siri

Msaada: Nina tatizo la kutokwa na majimaji sehemu za siri

Pumzi

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2013
Posts
321
Reaction score
55
Mimi ni kijana ninatatizo la kutoa maji maji sehemu za siri na yanakua na harufu mbaya ili tatizo linanisumbua kwa miaka miwili sasa...

Je nitumie dawa gani niondokane na harufu hii wadau?
 
umeshawahi kwenda hospitali?hayo maji maji yana rangi gani?hayo maji maji yanatoka muda gani?chanzo cha hayo maji maji kutoka kilianzaje?
 
umeshawahi kwenda hospitali?hayo maji maji yana rangi gani?hayo maji maji yanatoka muda gani?chanzo cha hayo maji maji kutoka kilianzaje?

ni kama jasho flan huwa yanatokea nimetembea sn na chanzo chake nafikir nikuongezeka kwa mwili
 
naona kjn unawaogopa madaktari, wahi hospital, huko chini panatakiwa pawe na ulinzi muda wote ka white house
 
mkuu wahi hosptali aiseee tena fasta haiwezekani miaka miwili yote umeikaushia tu hio hali ni hatar kwa afya yako
 
Kijana afya ni muhimu sana na unapoona tofauti yoyote ktk mwiliwe wahi hospital tafadhali
 
Back
Top Bottom