Mchele_kumwaga
Member
- Dec 27, 2018
- 12
- 2
- Thread starter
-
- #21
Active PUD boss.. sasa mkuu uwe na nidham ya vyakula na kupunguza stress,Biopsy mara mbil ndugu imechukuliwa,,,,niko dar ndugu na tuliishia nkafanye ct-scan sema gharama ndio najichanga,,,hospital ni kubwa tu hapa mjin ila sidhan kama itifaki itaruhusu kuitaja,,,bado napambana ndio maana nikafikia kushare humu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Uliponaje vidonda vya tumbo hivoHuo mziki ni vidonda ndugu yangu nilipitia sekeseke kama hilo acha kabisa lakini huwezi amini nimepona kabisa njoo pm nikuelekeze bure kabisa unapona.