babadullah JF-Expert Member Joined Feb 21, 2017 Posts 508 Reaction score 319 Mar 10, 2017 #1 Nina siku ya nne sasa kila ikifka jion tumbo linauma,na korodani zinauma sana,anayejua tatizo ni nini anambie na ni nini dawa, nimeenda hospital wamenipa painkiller tatizo hawajatatua
Nina siku ya nne sasa kila ikifka jion tumbo linauma,na korodani zinauma sana,anayejua tatizo ni nini anambie na ni nini dawa, nimeenda hospital wamenipa painkiller tatizo hawajatatua
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 88,759 Reaction score 123,368 Mar 10, 2017 #2 Nenda kulea la jf doctors huko kuna wataalam watakusaidia!pole OvA
kabiriga JF-Expert Member Joined Nov 18, 2012 Posts 1,109 Reaction score 1,171 Mar 10, 2017 #3 Ni vema ukaenda hospitali kubwa zaidi ya hiyo uliyokwenda Siamini kila tatizo linaweza kutatuliwa hapa
Ni vema ukaenda hospitali kubwa zaidi ya hiyo uliyokwenda Siamini kila tatizo linaweza kutatuliwa hapa
20PROFF JF-Expert Member Joined Nov 5, 2013 Posts 8,186 Reaction score 7,184 Mar 11, 2017 #4 Isij kuw ngiri hyoo bro