Msaada: Nina tatizo la upele sugu kwenye mkunjo wa mkono

Msaada: Nina tatizo la upele sugu kwenye mkunjo wa mkono

Joseph mato

New Member
Joined
May 15, 2023
Posts
2
Reaction score
1
Habari wana jamii forums naombeni msaada jamani mwenzenu nina tatizo sugu kuna vipele vinanitoka kwenye mkunjo wa mkono ni vidogodogo ila vinawasha sana na nikikaa bila kushiliki ngono vinapotea ila nikishiliki tena vinarudi nimeshatumia sana dawa za kupaka na baadhi ya vidonge.
 
Back
Top Bottom