cleokippo
JF-Expert Member
- Dec 21, 2014
- 2,118
- 1,797
Wana Jf,
Mimi nilienda kupima, nikakutwa nina Typhoid, nikaandikiwa dawa nikaenda kununua cpro vidonge 20 nikatumia kwa muda wa siku 10, baada ya kumaliza doz, sikupata matokeo mazuri.
Yaan hali ilikuwa iko vilevile, ikabidi nirudi kwenye maabara ile ile nikawaeleze kuhusu hilo tatizo ili kama ikiwezekana niangalie tena kama ipo au imekwisha, wakaniambia vipimo vitadanganya inabidi nikae miezi 3 ndio nipime tena typhoid, ila wakanishauri ni check mkojo na Malaria.
Nikafanya hivyo kama walivyonishauri ikaonekana nina wadudu watatu, nikameza Malafin, ila pamoja na kumeza Malafin bado tena hali iko vile vile.
Sasa hapo tatizo nini? Vipimo vingine nilivyofanya ni HIV, BP, SUKARI vyote hivyo viko safi, na tatizo langu kubwa sinywi maji kabisa, naweza nikakaa hata siku mbili sijanywa maji. Nombeni msaada wenu.
Ahsanteni sana.
Nawasilisha.