Msaada: Nina udomo zege usiopimika

Sikushauri ;labda iwe kwa wasichana wote .ukiona hivyo ujue kakuzidi nyota ,ni hatari atakuburuza kwenye mahusiano.
Hayo ya nyota kaa nayo mwenyewe haiwezekani vizuri niwe naviona kwa wengine tu..
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜·πŸ˜·πŸ˜·

 
Oh! Unaanza kulia WIVU sasa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mkuu wacha nikuachie tu ila kwenye Vita ya kumpata huyo nikiingia utaishia kumuona humu jf tu hata lile pindo lake la yesu ndie mwamba hautaliona..πŸ˜…

Nikianza kuharibu mambo hapa utaomba mods waifute id yangu!..πŸ˜‚
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kumbeee udomo zege wako hadi kwa huyu? 🀣🀣🀣🀣

Mkuu wacha nikuachie tu ila kwenye Vita ya kumpata huyo nikiingia utaishia kumuona humu jf tu hata lile pindo lake la yesu ndie mwamba hautaliona..πŸ˜…

Nikianza kuharibu mambo hapa utaomba mods waifute id yangu!..πŸ˜‚
 
Mkuu wacha nikuachie tu ila kwenye Vita ya kumpata huyo nikiingia utaishia kumuona humu jf tu hata lile pindo lake la yesu ndie mwamba hautaliona..[emoji28]

Nikianza kuharibu mambo hapa utaomba mods waifute id yangu!..[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Reactions: BAK
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ sasa unataka niseme nini Saint Anne? Si umamuona domo zege KENZY kishaanza kuleta wivu wake oh! niambie kama the deal is done, usiponiambia wewe yeye ataniambia 🀣🀣🀣🀣🀣

BAK naona unapita kimyakimya
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]anakuchimba biti???
 
Reactions: BAK
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚umeona eh!!! ATANUNA huyu akijua umempa BAK tunda tamu KIMASIKHARA MASIKHARA. 🀣🀣🀣🀣

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]anakuchimba biti???
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]umeona eh!!! ATANUNA huyu akijua umempa BAK tunda tamu KIMASIKHARA MASIKHARA. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hivi bado hizi ndoto hazijaisha????[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Reactions: BAK
Usisahau kuweka kokoto za kutosha zege iwe imara mkuu
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ shauri yako.

Hivi bado hizi ndoto hazijaisha????[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Usiwe na wasiwasi mie simpi ushuhuda yeyote yule ni siri yetu hiyo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ukifanikiwa ruksa kutoa ushuhuda..
Yaani ujue jinsi gani huwezi fanikiwa[emoji23][emoji23]
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…