Ukifanikiwa ruksa kutoa ushuhuda..
Yaani ujue jinsi gani huwezi fanikiwa[emoji23][emoji23]
ataishia kupiga chafya tuWEKA UGORO KWENYE DOMO HILO UTAONGEA MWENYEWE
Mamy usisumbuke na hili zee!Ukifanikiwa ruksa kutoa ushuhuda..
Yaani ujue jinsi gani huwezi fanikiwa[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23] that's good[emoji122]I donβt KISS AND TELL. I have never that done before in my life [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]Mamy usisumbuke na hili zee!
Ameshakula ujana wake huko uzee wake utaubeba..??
Hebu jione huruma tafuta mtu damu imechemka kama mimi!!
Muda wote linahangaika hapa utafikiri piemu haipo[emoji23]
Mamy usisumbuke na hili zee!
Ameshakula ujana wake huko uzee wake utaubeba..??
Hebu jione huruma tafuta mtu damu imechemka kama mimi!!
Muda wote linahangaika hapa utafikiri piemu haipoπ
BAK unajiunga jf Mimi namaliza std7[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] domo zege kumbe una wivu hivi? Eti tafuta mtu damu imechemka kama MIMI [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hutaki BAK afaidi!?
Nje ya mada kidogo[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Tafuta kwanza namba zake.Hapana
Taarifa nilishatoa hapo kabla huwezi shindana hapa maana propaganda aziweza,ngumi niko vizuri..ππππππππ domo zege kumbe una wivu hivi? Eti tafuta mtu damu imechemka kama MIMI π€£π€£π€£π€£π€£π€£ hutaki BAK afaidi!?
Taarifa nilishatoa hapo kabla huwezi shindana hapa maana propaganda aziweza,ngumi niko vizuri..
Tatizo langu ni ana kwa ana tu..π
Hivi tu umeshaanza kuloa ndevu nichomoe kombora lengine ili nimalize mchezo au nikustahi tu!!π
Wewe sio wa kufaidi tena bali wa kupambana na hali yako usije mtisha mtoto wa watu kwa mapengo yako uliyoyasitiri kwa meno bandia..π
Mimi ndimi nitakuvika nishani ya Mapenzi achana na huyu mzee atakuvika nishani ya mapengo bure..BAK unajiunga jf Mimi namaliza std7
BAK unajiunga jf Mimi namaliza std7
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwani kwa Saint Anne ulimalizaje?
Mimi ndimi nitakuvika nishani ya Mapenzi achana na huyu mzee atakuvika nishani ya mapengo bure..
Sio tu hawezi kukununulia hata gauni lako la yesu ndie mwamba!, Bali hata kukufunga zipu ya gauni hilo itakuwa ni mtihani kwake..
Nishukie kipenzi,nikuonyeshe utenzi
Njoo kwa kenzy,nikupe Mapenzi..π
Nitakaba kabali,watakuona kwa mbali
Utakuwa wa halali,utakula vidali..
Ndimi wako wakili nipe nikusitiri..
[emoji23][emoji23][emoji23]That does not mean anything [emoji23][emoji23]