Msaada: Nina udomo zege usiopimika

Subiri akirudi Bak nitawapa pole kwa pamoja watukutu nyie
Bora pole yangu! Bak najua kakushindwa..😜
Hajaona hata pindo la vazi lako!.

Mimi ninayo heri!,Tena bwana ateta nami nakuniinua mbele zako!
Amenionyesha sifa zako nami nimeridhika nawe.. kwa ufalme wake yeye hakika nimekupata kama Adam alivyompata mwandani wake Eva..πŸ˜‰
 
Una uhakika hajaona?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…