Pole sanaKuna binti hapa sio tu kaumbika no kakamilika idara zote kiasi kwamba hata nzi akimtulia kwenye mwili wake mi napata wivu
Tatizo sio kuumbika kwake,hivyo ni vivutio vya kitalii ambavyo nataka nikavifaidi ili kuitendea haki kazi ya bwana..
Tatizo ni udomo zege umenishika dhidi yake!
Nateseka juu yake,kula nakula lakini sishibi kwa sababu yake! Hata kunywa maji nakunywa lakini kiu hakiishi juu yake!.
Nikimsogelea maneno yananikimbia nabaki najiuma uma na kujikuna tu!.. na vile kabarikiwa tabasam ndo kabisa nikiliona mpaka mapigo yangu ya moyo yanachachamaa! Ni kama vile yananihukumu yananiambia "Leo Sasa!"
Msaada ndugu zanguni nifanyaje huu udomo zege niushinde?
Unakosaje kumng'oa mtoto mkuu vaa ujasiri😅😅
Leo hii nakosa lolote dah!
😂😂😂😂Hii mbona ni kahawa Mimi nimeistukia kitambo
Mtoa mada huwa ana bishana huko na huko katika majukwaa mbali mbali halafu hapa ana jifanya domo zege
Waweza kukuta Pm yake imejaa ..mpaka uwanja wa kuandikia text hakuna
sio udomo zege,wewe ni akili zuzuKuna binti hapa sio tu kaumbika no kakamilika idara zote kiasi kwamba hata nzi akimtulia kwenye mwili wake mi napata wivu
Tatizo sio kuumbika kwake,hivyo ni vivutio vya kitalii ambavyo nataka nikavifaidi ili kuitendea haki kazi ya bwana..
Tatizo ni udomo zege umenishika dhidi yake!
Nateseka juu yake,kula nakula lakini sishibi kwa sababu yake! Hata kunywa maji nakunywa lakini kiu hakiishi juu yake!.
Nikimsogelea maneno yananikimbia nabaki najiuma uma na kujikuna tu!.. na vile kabarikiwa tabasam ndo kabisa nikiliona mpaka mapigo yangu ya moyo yanachachamaa! Ni kama vile yananihukumu yananiambia "Leo Sasa!"
Msaada ndugu zanguni nifanyaje huu udomo zege niushinde?
Nilikua napitapita tu ghafla nikauona uzi wako nikasema acha nikupe pole.nani amekuambia ufufue nyuzi za zamani hivi..?
Mkuu ushapona udomo zege?achana na nyuzi za zamani yalishaisha haya mambo!.
Ni tamaa tu, ata mimi nilikuwa najuaga nikimpata mwanamke mzuri kushinda wote nitatulia kumbee, ni kwamba tu wanaume hatujui tunachotafuta Kwa wanawake kwasabu mashimo ni yaleyale tu! ukishatambua hilo hakuna mwanamke atakubabaisha yaan, unatongoza kistaa! akikataa namtoa kabisa kwenye akili yangu!Kuna binti hapa sio tu kaumbika no kakamilika idara zote kiasi kwamba hata nzi akimtulia kwenye mwili wake mi napata wivu