yoram26 Member Joined Apr 12, 2017 Posts 13 Reaction score 16 Jul 10, 2017 #1 Ndugu wanajukwaa naombeni msaada jinsi ya kupona hizo kitu ni chronic zaidi ya mwaka sasa nawasilisha. Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app Attachments IMG-20170710-WA0008.jpg 74.3 KB · Views: 65
Ndugu wanajukwaa naombeni msaada jinsi ya kupona hizo kitu ni chronic zaidi ya mwaka sasa nawasilisha. Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
Manyabuluba JF-Expert Member Joined Nov 6, 2015 Posts 371 Reaction score 381 Jul 10, 2017 #2 Pole sana kijana,njia mojawapo nzuri ni kunyoa kipara cha wembe kama kuruti wa jeshi. Sent from my GT-N7000 using JamiiForums mobile app
Pole sana kijana,njia mojawapo nzuri ni kunyoa kipara cha wembe kama kuruti wa jeshi. Sent from my GT-N7000 using JamiiForums mobile app
PROF NDUMILAKUWILI JF-Expert Member Joined Mar 25, 2016 Posts 10,518 Reaction score 13,144 Jul 10, 2017 #3 Una umri gani na je huwa unapendelea kunyoa upara? -Ndumilakuwili-
yoram26 Member Joined Apr 12, 2017 Posts 13 Reaction score 16 Jul 10, 2017 Thread starter #4 PROF NDUMILAKUWILI said: Una umri gani na je huwa unapendelea kunyoa upara? -Ndumilakuwili- Click to expand... Miaka 23,,ndio hua napendelea kunyoa vipara Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
PROF NDUMILAKUWILI said: Una umri gani na je huwa unapendelea kunyoa upara? -Ndumilakuwili- Click to expand... Miaka 23,,ndio hua napendelea kunyoa vipara Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app