Umetoka jela Leo? Kajiunge kwenye vikundi kuna mkopo wa serikali week nyingi utapata.Habari wana jamii forum kwa jina naitwa Herman niko mwanza elimu yangu n kidato Cha 4 na nimesoma chuo cha mipango. Nia ya kuandika Uzi huu nilikuwa na wazo la biashara ya accessories za simu na nmejarbu kufanya tafiti kwa watu wengi inalipa Sana changamoto ambayo ninayo Ni mtaji na kiasi kinachohitajika ni 300,000Tsh kusudi niweze kufanikisha ili nilikuwa nahitaj mtu wa kuniazima icho kiasi tukaelewana malipo namlpaje
Una shida halafu ni mkali, wanasema "mtumikie kafiri upate mradi wako". Kama alivyosema, humu kuna watu wanashida kukushinda wewe!Kuwa na lugha nzur Kama auna cha kuchangia uwe unaacha jieshimu mzee