Msaada: Nina wazo la kuanzisha project ya kutafuta vipaji vya kuimba hapa Musoma, naombeni mawazo ye

Msaada: Nina wazo la kuanzisha project ya kutafuta vipaji vya kuimba hapa Musoma, naombeni mawazo ye

nyakahanga

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2013
Posts
240
Reaction score
65
Salaam wakuu,
Mimi ni kijana mwenye kiu ya mafanikio lakini sina mtaji wa kutosha. Najitokeza kwenu kuomba msaada juu ya hii ishu.
Nimejaribu kufanya utafiti hapa Musoma na nimeona kuna vijana wengi wenye vipaji lakini wanaishia kuimbia "maghetoni" tu.
Hivyo nimeamua kuja na wazo la kuanzisha "Musoma Young Musicians Search" (MYMS) itakayojihusisha na kusaka vipaji vya kuimba na kurap kwa vijana wasiozidi miaka 20 watakaopitia mchujo hadi kubaki watano bora na ambao watazawadiwa zawadi mbalimbali ikiwemo kupelekwa studio na kusimamiwa kazi zao za muziki kwa kipindi kitakachokuwa stated kwenye mkataba.
Kama nilivyotangulia kusema hapo juu ni kuwa sina mtaji wa kutosha, ila nahitaji udhamini wa makampuni makubwa yanayopatikana hapa Musoma kama Cocacola (NBCL), Musoma Food, n.k. Hivyo naombeni ushauri wenu nianzie wapi Kuyaapproach makampuni haya na mengine yaweze kutoa udhamini.
Nahitaji sana msaada wenu wadau.
Nawasilisha
 
Andaa busness plan, sajili project yako balaza la sanaa taifa, katika mchanganuo utakao andaa , onyesha wazi mchakato utavyo ufanya mpaka kupata washindi. balaza la taifa upenda kujua kama utatumia majaji kupata washind hivyo wataitaji kujua sifa za hao majaji watakuwa na sifa gan, pia katika mchanganuo wako onyesha baada ya tukio watu yaan vijana watanufaika je?

Suala la kuomba wazamin, kama una nafasi nenda kampun unayo lenga uongee na marketing manager, atakuelekeza cha kufanya. kumbuka suala hili kulifanikisha linategemea kwa 100% vyombo vya habari fikiria kuweka mahusiano mazuri na vyombo vya habari. wengine waweza kutaka hela na wengine siyo hela kuandika makala tu
 
Asante sana mkuu,,,
Umenipa mwanga na naamini nitaanzia hapahapa
 
Back
Top Bottom