Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kapime mimba
mwanaume ntapimaj mimba
mwanaume ntapimaj mimba
Umeshajazwa mimba wewe...kama sio mimba basi umeambukiza ukimwi
Huenda una intestine virus au bacteria kwa urahisi. Unahitaji anti biotic za uhakika.
Kapime minyoo
Na UTI pia huwa vinasababisha
wameshakuribu nenda hospital kwa ushauri zaidi
daah yaan mkuu hatta mm nkijtaoisha kidogo ndo napata hamu ya kulaHiyo hali ilikua inanitokea sana hata mimi yani bila kujitapisha maxudi hujisikii kula kitu chochote nkaenda kupima u.t.i ikakutwa ndani ya nyumba hivi ninavyoandika sindano namalizia kesho ni 5 kila siku 1.
nafkiri kwa kumsaidia ungependekeza antbiotics gani atumie ili kama tatizo ni hilo apate afueni
Umeshajazwa mimba wewe...kama sio mimba basi umeambukiza ukimwi
sio kila ishu ni utani mbna mnaharibu maana hasa ya hili jukwaa? Mdau yuko sirias ana shina we unaleta mambo ya mpoki na joti hapa