Msaada wana jamii,Ninasumbuliwa na abdomenal pain,upande Wa kulia chanzo nilidondoka juu ya mti,nmetumia xana dawa za kunywa na kuchua but no good result.Nikaamua kupuga ultrasound na x ray pia tatizo halikugundulika,Naombeni ushauri naumia sana.
Kama unajua source ya maumivu ni ajali, tafadhali kapate picha ya MRI scan.
Magnetic resonance imaging (MRI) is a type of scan that uses strong magnetic fields and radio waves to produce detailed images of the inside of the body.