Naxria abdalla
Member
- Feb 28, 2025
- 7
- 7
Habari wana jamvi leo nataka munisaidie kitu mwenzenu huwa najiskia vibaya sana baadhi ya muda na ninapokuwa najiskia hivyo sehemu ya kichwa ndio inahusikia asilimia 100% kama nahisi kichwan kuna mawenge flan au km nataka kupata kizunguzungu
Ila kichwa hakiumi hlf natokwa na jasho sana ata ikitokea nipo kwenye fan au nipo nje ila ntatoka jasho,hii inatokana na nini wadau, halii hii inanitesa zaidi ya miezi 3
Ila kichwa hakiumi hlf natokwa na jasho sana ata ikitokea nipo kwenye fan au nipo nje ila ntatoka jasho,hii inatokana na nini wadau, halii hii inanitesa zaidi ya miezi 3