Naxria abdalla
Member
- Feb 28, 2025
- 7
- 7
Habari wana jamvi leo nataka munisaidie kitu mwenzenu huwa najiskia vibaya sana baadhi ya muda na ninapokuwa najiskia hivyo sehemu ya kichwa ndio inahusikia asilimia 100% kama nahisi kichwan kuna mawenge flan au km nataka kupata kizunguzungu
Ila kichwa hakiumi hlf natokwa na jasho sana ata ikitokea nipo kwenye fan au nipo nje ila ntatoka jasho,hii inatokana na nini wadau, halii hii inanitesa zaidi ya miezi 3
Una damu nyingi kuwa na mazoea ya kuchangia damuHabari wana jamvi leo nataka munisaidie kitu mwenzenu huwa najiskia vibaya sana baadhi ya muda na ninapokuwa najiskia hivyo sehemu ya kichwa ndio inahusikia asilimia 100% kama nahisi kichwan kuna mawenge flan au km nataka kupata kizunguzungu
Ila kichwa hakiumi hlf natokwa na jasho sana ata ikitokea nipo kwenye fan au nipo nje ila ntatoka jasho,hii inatokana na nini wadau, halii hii inanitesa zaidi ya miezi 3
Ahsante nitawahi hosptali na ntarudi na majibu ya damu hapaUna damu nyingi kuwa na mazoea ya kuchangia damu
Ukiacha hio hali kuna siku utapata stroke
Ahsante nitajitahidi niwahi kwendaPole sana.
Ni muhimu ukafika hospitalini ukaonane na daktari ili akufanyie uchunguzi na vipimo ili kubaini kisababishi cha tatizo lako.
Kila la kheri.
Pole, vipi hali yako yakupata usingizi ikoje?Habari wana jamvi leo nataka munisaidie kitu mwenzenu huwa najiskia vibaya sana baadhi ya muda na ninapokuwa najiskia hivyo sehemu ya kichwa ndio inahusikia asilimia 100% kama nahisi kichwan kuna mawenge flan au km nataka kupata kizunguzungu
Ila kichwa hakiumi hlf natokwa na jasho sana ata ikitokea nipo kwenye fan au nipo nje ila ntatoka jasho,hii inatokana na nini wadau, halii hii inanitesa zaidi ya miezi 3
Kesho jumatatu ntaenda hosptal hlf nitarudi na majibu ahsanteni wote kwa ushauriJe umejaribu kufanya haya Mambo
Kupima pressure
Kupima sukari
Kupima ukimwi
Kama hauna hayo Magonjwa je unazingatia lishe bora ,kunywa Sana maji na mazoezi.
Usingizi wangu ni wa tabu kdg ata mchana sipati usingizi kabisaPole, vipi hali yako yakupata usingizi ikoje?
Labda una stress, kama siyo hivo bas una preshaHabari wana jamvi leo nataka munisaidie kitu mwenzenu huwa najiskia vibaya sana baadhi ya muda na ninapokuwa najiskia hivyo sehemu ya kichwa ndio inahusikia asilimia 100% kama nahisi kichwan kuna mawenge flan au km nataka kupata kizunguzungu
Ila kichwa hakiumi hlf natokwa na jasho sana ata ikitokea nipo kwenye fan au nipo nje ila ntatoka jasho,hii inatokana na nini wadau, halii hii inanitesa zaidi ya miezi 3
Wacha nikapime ntapata majibuLabda una stress, kama siyo hivo bas una presha
Pole sana, nenda hospitali.Habari wana jamvi leo nataka munisaidie kitu mwenzenu huwa najiskia vibaya sana baadhi ya muda na ninapokuwa najiskia hivyo sehemu ya kichwa ndio inahusikia asilimia 100% kama nahisi kichwan kuna mawenge flan au km nataka kupata kizunguzungu
Ila kichwa hakiumi hlf natokwa na jasho sana ata ikitokea nipo kwenye fan au nipo nje ila ntatoka jasho,hii inatokana na nini wadau, halii hii inanitesa zaidi ya miezi 3
Kuna dawa itakusaidia kabisa.Usingizi wangu ni wa tabu kdg ata mchana sipati usingizi kabisa