Nenda kwa Mwamposa kwa imani pale Yesu yupo.NImekuwa nikisumbuliwa na vitu kutembea maeneo nyuma a bega la kushoto zaidi miaka 15..
Kuna kipindi nilikuwa nakaa nyumba yakupanga, mama mmoja aliniambiaga mtoto wake mdogo alimwambia Kaka kuna vitu vinamtembea lakini nilipuuzia.
Ila sasa naona kama haviishi kwa mwenye experience inaweza kuwa nini anisaidia au ashawai kukutana na hii hali.
Asanteni nitafurahi nikisadiwa sijui ni ushirikina au vipi?
HapanaJe hauna tatizoya gesi kujaa tumboni au madonda ya tumbo!?
Hospital za wachina ziko wapi hapa tz ??Nenda hospital za wahindi au wachina
Inakuwaje?Uric Acid!
Sijajua hapaAu umelogwa
Hapa ndo penyeweUric Acid!
Naomba soma inasababishwa na nini?Hapa ndo penyewe