MSAADA: Ninatafuta music producer anishike mkono

BoyOfGod

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2019
Posts
1,055
Reaction score
1,572
Habari wakuu!

Mimi ni kijana mwenye mapenzi na mziki.

Nimebobea kiasi kuandika nyimbo za dini na kwa sasa nimefocus pia (bado najifunza) kwenye production (kutengeneza beats), japokuwa sina vifaa zaidi ya pc tu.(najitafuta)

Kwa vile jamii forums kuna watu wa aina tofauti ninaomba kama kuna producer atawiwa kunishika mkono, kwa maana nahitaji kujifunza zaidi kuhusu production lakni pia naweza kufanya kazi ndogo ndogo za kumsaidia studio nitashukuru sana.

Kikubwa zaidi natamani nafasi ya kurekodi maana kiuchumi sipo vizuri kabisa....
 
Tafuta laki mbili tu ununue vifaa vyako mwenyewe kwa ajli ya jome studìo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…