Msaada ninatatizo la kutokushika mimba

Msaada ninatatizo la kutokushika mimba

johappy

Member
Joined
Jun 18, 2017
Posts
79
Reaction score
56
Habari wapendwa mimi ni mama wa mtoto mmoja sasa ni miezi nane yapita tangu mimi na mwenzi wangu tuanze kutafuta mtoto , katika kuhangaika kuna mtu akamshauri atumie mbegu za nyonyo akatumia lakini hatukufanikiwa , nashindwa kuelewa tatizio ni nini naombeni msaada wa mawazo .
 
Hakuna tatizo muda haujafika tu
Sasa sisi ambao hatujawahi kupata mimba hata ya bahati mbaya miaka 5 -10
Si ungekufa...
Relax mkuu utapata tu mawazo yatakufanya uwe na hormone imbalance usipate na mimba yenyewe kabisa
 
Niliwahi kusikia mbegu za mnyonyo ni mojawapo ya njia ya asili ya uzazi wa mpango thus unataka upumzike miaka mitatu unameza mbegu tatubna mimba haitashika
 
Hakuna tatizo muda haujafika tu
Sasa sisi ambao hatujawahi kupata mimba hata ya bahati mbaya miaka 5 -10
Si ungekufa...
Relax mkuu utapata tu mawazo yatakufanya uwe na hormone imbalance usipate na mimba yenyewe kabisa
Hahaaaa umenikumbusha mbali.


Hakuna kitu kinamyima usingizi mwanamke anayetafuta mtoto bila mafanikio.
 
Just relax and enjoy each other instead of putting pressure to your relationship.

Habari wapendwa mm ni mama wa mtoto mmoja sasa ni miezi nane yapita tangu mm na mwenzi wangu tuanze kutafuta mtoto , katika kuhangaika kuna mtu akamshauri atumie mbegu za nyonyo akatumia lakini hatukufanikiwa , nashindwa kuelewa tatizio ni nn naombeni msaada wa mawazo .
 
Back
Top Bottom