Hahaaaa umenikumbusha mbali.Hakuna tatizo muda haujafika tu
Sasa sisi ambao hatujawahi kupata mimba hata ya bahati mbaya miaka 5 -10
Si ungekufa...
Relax mkuu utapata tu mawazo yatakufanya uwe na hormone imbalance usipate na mimba yenyewe kabisa
Habari wapendwa mm ni mama wa mtoto mmoja sasa ni miezi nane yapita tangu mm na mwenzi wangu tuanze kutafuta mtoto , katika kuhangaika kuna mtu akamshauri atumie mbegu za nyonyo akatumia lakini hatukufanikiwa , nashindwa kuelewa tatizio ni nn naombeni msaada wa mawazo .
Hahaaaa umenikumbusha mbali.
Hakuna kitu kinamyima usingizi mwanamke anayetafuta mtoto bila mafanikio.