Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shukrani kwa ushauri mkuu.je na kwa upande wa service zinakua ziko vizuri au kuna ulazima wa kufanya?Kwanza ni vema ukajiridhisha tairi zilizopo ni za nchi za joto. Usije ukatesa n a tairi za nchi za baridi ikawa majanga
Nilinunua tradecar view na ndio hao hao wananifanyia clearance.Unakampuni gani ya kutoa gari bandarini.?
Kwa mujibu wa sheria ya viwango, gari linapaswa kukaguliwa na mawakala wa TBS Japan kabla halijasafilishwa kuja nchini ( Pre-Shipment Verification of Conformity ). Hivo basi kwa utaratibu huu gari pindi linapowasili nchini halihitaji service.Habari wanajamvi kuna gari nimenunua kutoka japan na linatarajiwa kufika wiki ijayo.naomba ushauri wanajamvi ni kitu gani cha kufanya kabla ya kuanza kutembea nalo barabarani na ni service zipi natakiwa kuzifanya?
Thanks kaka ntawatafuta.gari yangu ni toyota voltz gharama zingine zikoje ukiacha agent feeKwa mujibu wa sheria ya viwango, gari linapaswa kukaguliwa na mawakala wa TBS Japan kabla halijasafilishwa kuja nchini ( Pre-Shipment Verification of Conformity ). Hivo basi kwa utaratibu huu gari pindi linapowasili nchini halihitaji service.
Mkuu nikiwa kama clearing agent, naomba utupe kazi, tutakutolea gari yako bandarini kwa Laki Mbili (tsh. 200,000) tu. Tunafanya kazi kwa uaminifu, haraka na ufanisi mkubwa.
Wasiliana nasi;
S.A Link Traders Ltd (clearing & forwarding company)
1st Floor-NHC Building ( Adjacent to Samora house),
Samora Avenue,
Dar es Salaam- Tanzania.
Email mail: info@salink.co.tz
Mobile: +255718 866 651 (call or whatsapp)
Website: salink.co.tz
Facebook page: https://web.facebook.com/sakink2017/
Toyota Voltz ya mwaka gani? ili as per TRA calculator tupate gharama halisi za ushuru.Thanks kaka ntawatafuta.gari yangu ni toyota voltz gharama zingine zikoje ukiacha agent fee
1.Gharama za wakala wa meli (shipping line) ni $95 (Delivery Order fee, sumatra charges, car service charges) VAT included.Thanks kaka ntawatafuta.gari yangu ni toyota voltz gharama zingine zikoje ukiacha agent fee
Toyota voltz ya mwaka 2002Toyota Voltz ya mwaka gani? ili as per TRA calculator tupate gharama halisi za ushuru.
Kwa mujibu wa TRA calculator, C.I.F value ni USD 2,624.00 na ushuru ni TSH. 6,697,443.14.Toyota voltz ya mwaka 2002
Kwa mujibu wa TRA calculator, C.I.F value ni USD 2,624.00 na ushuru ni TSH. 6,697,443.14.
TRA calculator link: Used Motor Vehicle Valuation System - Used Motor Vehicle Valuation System
Pia wharfage charges ni ( C.I.F X 1.6% ) + VAT= ( $2,624 X 1.6% ) + VAT= $ 49.54.
Bei ya kununulia Japan ni hio CIF USD2,624, hapo hujaweka;Yaani ($2,624.00 CIF) 6,297,600/= + 6,697,443.14 = 12,995,043/= JUMLA
hapo hajaweka bei ya Volts aliyonunulia huko Japan na hicho kibao cha Plate namba 30,000/ au nimekosea?
Msaada Mkuu hapo tutani
Duh! Nitaendelea kutumia baiskeli yangu tu.Bei ya kununulia Japan ni hio CIF USD2,624, hapo hujaweka;
1. ushuru
2. port charges
3. Local shipping Line charges
4. Agency fee
5. Plate number.
Uchumi ukiimalika mkuu utajikuta automatic unahitaji ndinga.Duh! Nitaendelea kutumia baiskeli yangu tu.
MGC
hii volts mbona inafikia 10m? kuitoa Japan mpaka barabaraniMkuu nikiwa kama clearing agent, naomba utupe kazi, tutakutolea gari yako bandarini kwa Laki Mbili (tsh. 200,000) tu. Tunafanya kazi kwa uaminifu, haraka na ufanisi mkubwa.
Wasiliana nasi;
S.A Link Traders Ltd (clearing & forwarding company)
1st Floor-NHC Building ( Adjacent to Samora house),
Samora Avenue, Dar es Salaam- Tanzania.
Mobile: +255718 866 651 (call or whatsapp)