Mwanga Lutila
JF-Expert Member
- Nov 10, 2016
- 4,208
- 14,143
Zigo ni nini?Dah kuna mtoto mmoja wa Kimara anaitwa Dativa ana zigo la haja kwa sasa yupo Moshi nitakupa namba zake umuulize maana ya jina lake
Masogange,Vera Sidika,Mama TerryZigo ni nini?
Then ukijua itakusaidia nini?
Dativa= ni neno la kilatin kwa kiingereza ni emissive. Ni jina la kikristo direct linahusu sifa za Mungu, mwenye uwezo wa kupita pote. Having power to radiate everything, mwenyezi anauwezo wa kuona yote. Kama mwanga unavyoweza kupenyeza vile vile na Mwenyezi anaweza kupita pote. Neno kuu ni mwenye uwezo wa ku "radiate" nk.Kuna mtoto wa familia ya "mboga saba" anaitwa hilo jina na nimemuuliza maana yake nimejibiwa "sijui mama mwenyewe".
Nimejaribu kugoogle lakini nimeshindwa kupata maana yake.
Anayejua tafadhali.
Then ukijua itakusaidia nini?
Heshima tele Wadau!Ya ngoswe muachie Mazoea.
Achakufuatilia vya watu
Ni kweli Mkuu, Ngushi .Wengi wa arusha wanalitumia sana hilo jina!
Nakumbuka mwalimu wangu Fulani pale udsm Dativa shilla!
Alikuwa chombo hatari......
Hebu watu wa arusha waje
Hata Mimi mama yangu mkubwa anaitwa Dativa!!!Dah kuna mtoto mmoja wa Kimara anaitwa Dativa ana zigo la haja kwa sasa yupo Moshi nitakupa namba zake umuulize maana ya jina lake
Mhhhhh Jovitha yukoje? Maana wewe kwa karama zako za kupenda macho hujamboHata Mimi mama yangu mkubwa anaitwa Dativa!!!