Msaada:Nini majukumu ya mtia sahihi katika hundi za benki za taasisi( bank signatory)

AWIKA

Senior Member
Joined
Sep 17, 2012
Posts
165
Reaction score
35
Habari zenu ndugu zangu wana JF,ninaomba mnisaidie kujua kazi/majukumu/wajibu wa mtia sahihi mmoja mmoja katika hundi za benki za taasisi zinazosainiwa na angalau mtu mmoja(kwa wanaojua).Lakini pia mipaka yake na madaraka aliyonayo kuhusu pesa zilizomo katika akaunti.
 
Ungefafanua kidogo, kutokea kwenye upande upi; as far as bank is concerned or as far as organization (drawer) is concerned?
 
Swali lako ni zuri sana, pia naamini kuwa wako wengi huko maofisini wana tatizo hilo, kwangu mimi nadhani itategemea vitu kadhaa 3 au hata 5, moja position ya mhusika ikiwemo na majukumu yake kikazi (job description), pili accounting System ya hiyo organization kwani mifumo iko mingi ktk kudhibiti ikiwemo organization structure, tatu Management Policy Sera zenu zinagiza nini ? nne accountability na responsibility ? tano Endorsement Authority ect nahisi sikukupangia vizuri wengine watachangia hapo
 
You are definitely a consultant
 
Back
Top Bottom