Swali lako ni zuri sana, pia naamini kuwa wako wengi huko maofisini wana tatizo hilo, kwangu mimi nadhani itategemea vitu kadhaa 3 au hata 5, moja position ya mhusika ikiwemo na majukumu yake kikazi (job description), pili accounting System ya hiyo organization kwani mifumo iko mingi ktk kudhibiti ikiwemo organization structure, tatu Management Policy Sera zenu zinagiza nini ? nne accountability na responsibility ? tano Endorsement Authority ect nahisi sikukupangia vizuri wengine watachangia hapo