Afande Nyati
JF-Expert Member
- Nov 10, 2012
- 2,385
- 1,414
asante mkuu!!!! Ila hiz hasira hunifanya nifanye mambo ya NDIVOSIVO,,, ngoja nitawatafuta wataalam kama usemavo.Niliwah kuwa na hali kama yako ila mimi ckuwa na hasira bali mapigo ya moyo kwenda mbio na kuhic hali nisiyoielewa,
Nilikata shauri na kwenda Muhimbili nilifanikiwa kuonana na mtaalamu wa psychology mpaka sasa niko fresh kabisaaa baada ya dose ya kama mwezi hivi.
Yahh tafuta mtaalamu ukae nae, muhimu kuwa tayari kumueleza kila anachotaka kusikia esp ur life history na jinc gani unaishi, itakuwa ni njia nzuri ya yeye kujua anaanzia wapi kukusaidia.asante mkuu!!!! Ila hiz hasira hunifanya nifanye mambo ya NDIVOSIVO,,, ngoja nitawatafuta wataalam kama usemavo.
pole dada kama upo Dar nenda mbezi kwa msuguri pale bochi hospital Kuna docta masawe mtaalam wa saikolojia mm alinisaidia sana maana nilipitia kipindi cha miez 3ilikua nusu kujinyonga nilipewa tiba nae dozi ya mwezi nikawa fresh mawazo acha kabisa usiombe upitie kipindi hicho na pepo huingia apo na kutaka kukuangamizsamein!!!! thanks kwa faraja MUNGU akubariki!!!
mwenza gani ataekuelewa au kukuvumilia hasira zangu za ajabu? mfano,,, ajisahau aanze na story za kazin kuwa serikarin ukiajiriwa raha sana uwezo wa kusomeshwa upo 100%,,, hapo tayar naanza kukumbuka tulivokuw na plan future na wenzangu ambao wao wapo serikalin, ghafla najikuta nakuza mada na namjibu isivo takiwa.Ukipata mwenza mkapendana, you will forget all these..!!
ndugu inakaa hujui ugonjwa wa stress yaan ukiwa na stress hata dushe haisimamii kabisa mm nilipata stress miez mitatu na wife nalala nae nilikua hata kunigusa sitaki huwez taman kula wala kuwatch move mm ata Facebook au jamii forum nilikua sitaki hakuna ugonjwa mbaya kama stress ndugu acha miez mitatu nilikua na teseka usingizi sipati piaAs a Philosopher and Pyschologist Nasema haya
Tafuta Msela Mpimane akukaze sawa sawa Usiku kucha.
Fanya mazoezi
Check Movie
Fanya maombi sana
Penda kujishusha no matter umekosewa
Take Time tembea jiliwaze kokote kule
Rizika ila saka pesa sana ukifanikiwa kuipata Utakua mpole kama Jongoo vile .
N.B Zingatia la kwanza na la mwisho pia SAUT kuna mwalimu wa saikolojia mtafte.
Asante Mkuu!! ila saivi nipo Mombasa nitatafutia hukuhuku... labda tu nikija huko nako ndo ntawatafuta,,, je mbezi ya wapi uisemayo?pole dada kama upo Dar nenda mbezi kwa msuguri pale bochi hospital Kuna docta masawe mtaalam wa saikolojia mm alinisaidia sana maana nilipitia kipindi cha miez 3ilikua nusu kujinyonga nilipewa tiba nae dozi ya mwezi nikawa fresh mawazo acha kabisa usiombe upitie kipindi hicho na pepo huingia apo na kutaka kukuangamizs
mbez ya kimara pale yule docta anakufanya unarudi Hali yako ya kawaida kabisaAsante Mkuu!! ila saivi nipo Mombasa nitatafutia hukuhuku... labda tu nikija huko nako ndo ntawatafuta,,, je mbezi ya wapi uisemayo?
sana yaan hakuna ugonjwa mbaya kama stress ni silence killer yaan usione mtu kujinyonga ukashangaa mm ilifikia stej hiyo but ni kaa mungu aliniokoa aiseeDuh kumbe kuna watu wanatesekae [emoji85] [emoji26] [emoji29]
Jifunze kujenga mahusiano mazuri na Mungu ili ukiwa na situation kama hizo unajikuta na amani ya moyo, everything is under control!Hiyo hali ata mm inanisumbua nna siku ya pili nashinda tu ndani sitaki ongea na mtu yoyote
Kamuone daktari wa saikolojia.
Mkuu stress inategemea imesababishwa na nn kwanza.ndugu inakaa hujui ugonjwa wa stress yaan ukiwa na stress hata dushe haisimamii kabisa mm nilipata stress miez mitatu na wife nalala nae nilikua hata kunigusa sitaki huwez taman kula wala kuwatch move mm ata Facebook au jamii forum nilikua sitaki hakuna ugonjwa mbaya kama stress ndugu acha miez mitatu nilikua na teseka usingizi sipati pia