Msaada: Ninunue Vitz au Honda Fit?

Msaada: Ninunue Vitz au Honda Fit?

Joyce wohwoh

Member
Joined
Sep 17, 2021
Posts
80
Reaction score
185
Ndugu zangu naombeni mawazo yetu, nimejichanga sasa nataka agiza gari ya kwanza kabisa, sina experience ya magari.

Matumizi ya gari kwenda ni kazini, kanisani na labda kwenda mkoani mwisho wa mwaka, mimi wife na mtoto.

Je, niende na chaguo lipi kati ya Vitz au Honda Fit?
 
bajeti yako ni sh ngap? tuone kama kuna namna
 
Honda ni nzuri na Ina speed meter nzuri sana
 
Back
Top Bottom