Joyce wohwoh
Member
- Sep 17, 2021
- 80
- 185
Vipi spare parts zinapatikana,gharama vipi?Honda fit ni chuma
VITZ 1000CC,HONDA FIT 1300.Almost the same.Angalia kigezo Cha fuel consumption ndo kikupe Mwanga.
Ndugu zangu naombeni mawazo yetu, nimejichanga sasa nataka agiza gari ya kwanza kabisa, sina experience ya magari.
bajeti yako ni sh ngap? tuone kama kuna namnaNdugu zangu naombeni mawazo yetu, nimejichanga sasa nataka agiza gari ya kwanza kabisa, sina experience ya magari.
Matumizi ya gari kwenda ni kazini, kanisani na labda kwenda mkoani mwisho wa mwaka, mimi wife na mtoto.
Je, niende na chaguo lipi kati ya Vitz au Honda Fit?
Hela ipo inatosha kabisaa kwa option hizo mbili what I want ni kujua ipi the best?hasa ugumu na isiyo na magonjwa mengi.bajeti yako ni sh ngap? tuone kama kuna namna
tafuta istHela ipo inatosha kabisaa kwa option hizo mbili what I want ni kujua ipi the best?hasa ugumu na isiyo na magonjwa mengi.
Kariakoo zipo tena siku hizi zipo kwa wingi baada ya wajanja kuanza kununua Honda Fit.Vipi spare parts zinapatikana,gharama vipi?