Honda fit andika maumivubya spea na mafundiNdugu zangu naombeni mawazo yetu, nimejichanga sasa nataka agiza gari ya kwanza kabisa, sina experience ya magari.
Matumizi ya gari kwenda ni kazini, kanisani na labda kwenda mkoani mwisho wa mwaka, mimi wife na mtoto.
Je, niende na chaguo lipi kati ya Vitz au Honda Fit?
Shukrani ndugu zangu kwa ushauri wenu ilibidi nifanye pia utafiti manually spear za honda fit ilala na kariakoo zipo za kutosha.nimeamua ntaagiza honda fit.Honda fit andika maumivubya spea na mafundi
Uamuzi Ni wako. Hivi Ile kesi kule Mahakama Kuu Mbeya Ina maana Tena? Maana Halmashauri Kuu wameshafanya Yao tayariShukrani ndugu zangu kwa ushauri wenu ilibidi nifanye pia utafiti manually spear za honda fit ilala na kariakoo zipo za kutosha.nimeamua ntaagiza honda fit.
Shukrani nduguNIngekushauri fit, ninayo hybrid version yake. Tangu nimenunua siwajahi badilisha chochote kile na haijawahi nisumbua. route za town napata consumptions ya 18-20km/l, safari za mikoani napata mpaka 26km/l
Kwa nini niache honda toa sababu??Kama zote bei ziko sawa. Nakuchagulia ambayo hujaichagua. Chukua RAUM au IST tu. Honda achana nayo kabisa.
Uliichukua kwa ngapiNIngekushauri fit, ninayo hybrid version yake. Tangu nimenunua siwajahi badilisha chochote kile na haijawahi nisumbua. route za town napata consumptions ya 18-20km/l, safari za mikoani napata mpaka 26km/l
bajeti yako kiasi gani ?Ndugu zangu naombeni mawazo yetu, nimejichanga sasa nataka agiza gari ya kwanza kabisa, sina experience ya magari.
Matumizi ya gari kwenda ni kazini, kanisani na labda kwenda mkoani mwisho wa mwaka, mimi wife na mtoto.
Je, niende na chaguo lipi kati ya Vitz au Honda Fit?
Hakuna gari la kununua hapo labda kama unamnunulia mtoto kuendea shule 😂😂Ndugu zangu naombeni mawazo yetu, nimejichanga sasa nataka agiza gari ya kwanza kabisa, sina experience ya magari.
Matumizi ya gari kwenda ni kazini, kanisani na labda kwenda mkoani mwisho wa mwaka, mimi wife na mtoto.
Je, niende na chaguo lipi kati ya Vitz au Honda Fit?
Zilikuwa kwenye offer/sales, ilinigharimu kama sh 16mil mpaka kuishika mkononiUliichukua kwa ngapi