Sigara Kali
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 3,623
- 8,442
Swalaaamaa!!
Nataka kuanza kuwa mjasiriamali wa kutengeneza keki kuziremba na kuziuza
Sasa naomha mnifahamishe wapi naweza pata Yale mapambo ya kupambia keki kwa hapa Mwanza??
Niliangalia tutorial video YouTube nikaona wanakamua vitu kama chocolate kutoka kwenye vidude flani na keki inarembeka kweli kweli sasa nauliza wapi naweza pata haya mapambo?
Watu wa Mwanza mnijuze.